My first day in Islam: A simplified explanation of the Three principles that a new Muslim must know

 

There are things that new Muslim must learn and know, including knowing the answer to the three significant questions that every person is questioned after death, determining his eternal destiny; either to Paradise or Hell, they are:

- Who is your lord? 

- What is your religion? 

- Who is your Prophet? 

 

 

SIKU YANGU YA KWANZA KATIKA UISLAMUUfafanuzi mpana wa misingi mitatu ambayo ni wajibu kwa muislamu mpya kuifahamuMwenye

 

MISINGI YA LAZIMA KUIFAHAMU:

Unapoingia katika uislamu kuna mambo ni lazima kwako kuyafahamu, na miongoni mwake ni kujua majibu ya maswali matatu muhimu ambayo ataulizwa kila mwanadamu baada ya kifo, na ambayo yatakayoweka kikomo cha maisha yake ya milele; ima aingie peponi au ima aingie motoni, nayo ni:

- Ni nani Mola wako

- Ni ipi dini yako

- Ni nani Nabii wako

Read the book in another language